Maono yetu
Tunatazamia uchumi ambao ni endelevu, wenye usawa na ambao hautegemei moja kwa moja mvua au utoaji wa kaboni hatarishi ili kuwa na uhakika wa uzalishaji na mapato.
Tangu 2016, tumekuwa tukibadilisha kilimo kote Afrika kupitia mifumo bunifu ya umwagiliaji inayotumia nishati ya jua na mashine za uchakataji
Kutoka mwanzo mdogo hadi kuwa mtoa huduma mkubwa wa suluhisho za sola Barani Afrika
Simusolar ilianzishwa mwaka 2016 ikiwa na dhamira ya wazi: kuwawezesha wakulima wa Afrika na mifumo nafuu, endelevu ya umwagiliaji inayotumia nishati ya jua pamoja na mashine za usindikaji wa mazao ya kilimo.
Tulitambua kuwa vifaa vilivyokuwepo vya kilimo vinavyotumia mafuta havikuwa tu ghali katika kazi bali pia havina uhakika na vinaathari kwa mazingira. Suluhisho letu lilikuwa kuvuna miale ya kutosha ya jua iliyopo Afrika ili kutoa suluhisho safi, la uhakika, na la gharama nafuu za kilimo.
Kwa sasa, tumesaidia maelfu ya wakulima kote Tanzania na kwingineko kuongeza uzalishaji wao, kupunguza gharama na kulimo endelevu zaidi. Bofya kitufe kilicho hapa chini ili kuona mchango/matokeo yetu kwa idadi, utaona jinsi tunavyobadilisha kilimo kote Afrika.
Kuleta mabadiliko endelevu katika kilimo cha Afrika
Tunatazamia uchumi ambao ni endelevu, wenye usawa na ambao hautegemei moja kwa moja mvua au utoaji wa kaboni hatarishi ili kuwa na uhakika wa uzalishaji na mapato.
Kuwezesha ustawi kupitia upatikanaji wa Vifaa vya uzalishaji vinavyokopeshwa
Misingi inayoongoza kila kitu tunachofanya
Tunaweka mahitaji ya wateja mbele na kuwapa huduma ya hali ya juu
Tunawasikiliza wateja wetu kwa makini na kutoa mrejesho sahihi wa kueleweka.
Tunatumia takwimu kufanya maamuzi sahihi na kuboresha bidhaa na huduma zetu.
Tunafanya kazi pamoja ili kufikia malengo yetu na kutoa suluhisho bora zaidi kwa wateja wetu.
Tumejitolea kwa wateja wetu, wafanyakazi wetu, na kwa jamii.
Timu yetu ya watalaamu ya wataalamu imejotoa kufanya kazi ili kukuhudumia
Mkurugenzi Mtendaji/MWANZILISHI CO
Mkurugenzi Mtendaji/MWANZILISHI CO
CFO
CSO & CO-Mwanzilishi
MENEJA WA NCHI
MENEJA WA UFUNDI
MENEJA BIASHARA
MENEJA WA OPERESHENI MSAIDIZI
Timu yetu ya uongozi inayoongoza maono na mkakati wa kampuni
Mjumbe wa Bodi
Mjumbe wa Bodi
CFA
CSO & CO-Mwanzilishi
Mjumbe wa Bodi
Mjumbe wa Bodi
Mjumbe wa Bodi
Join Our Mission to
MSHAURI
MSHAURI
Kuwa sehemu ya mapinduzi ya kilimo cha nishati ya sola na utusaidie kuwawezesha maelfu zaidi ya wakulima Afrika nzima na suluhisho endelevu za gharama nafuu za nishati ya sola. Kwa pamoja, tunaweza kuwa na kesho nzuri ya kilimo cha Afrika.