Pampu za juu ya maji zenye ufanisi za sola

Zinasukuma maji kutoka kwenye vyanzo vya maji kama vile mito, madimbwi, mabwawa na maziwa zilizo rahisi kutumia, kwa gharama nafuu ya sola na zenye kuaminika kwa utendakazi bora wa kila siku.

Imetengenezwa kwa ajili ya vyanzo vya maji ya juu ya nchi

Pampu za juu ya maji hufungwa juu ya ardhi ili kusukum/kuvuata maji kutoka mito, madimbwi, mabwawa na maziwa kufanya ufungaji, ufikiaji na matengenezo yake kuwa rahisi.

Matengenezo Rahisi

Huduma zinakufikia kwa uharaka na ukarabati usio tegemea vifaa maalumu.

Gharama Nafuu

Unapuguza gharama za awali za ufungaji ukilinganisha na pampu zinazozamishwa majini.

Inatumika kwenye vyanzo mbalimbali

Inafaa kwa mito, madimbwi, mabwawa, maziwa, na matangi ya kuhifadhia maji na katika maeneo mengi ya kilimo na katika mifumo ya usambazaji wa maji.

Mgawanyiko wa Pampu za juu ya nchi

Pampu bora za juu ya nchi zilizoundwa kwa ajili ya kutumika kwenye vyanzo vya maji ya juu ya nchi kwa Afrika Masharika yote.

PK310: Kilimo Kwanza
Mfumo wa Pampu za juu ya Maj

PK310: Kilimo Kwanza

Kwenye mito, mabwawa na maziwa zinakua karibu na vyanzo hivi.

Mfumo wa Pampu za juu ya Maj

PJ550: KILIMO PESA

PJ480: KILIMO JIWEZESHE
Mfumo wa Pampu za juu ya Maj

PJ480: KILIMO JIWEZESHE

PJ630: KILIMO BORA
Mfumo wa Pampu za juu ya Maj

PJ630: KILIMO BORA

PJ390: KILIMO MASIKA
Mfumo wa Pampu za juu ya Maj

PJ390: KILIMO MASIKA

PJ370: KILIMO FAIDIKA
Mfumo wa Pampu za juu ya Maj

PJ370: KILIMO FAIDIKA

Mahali ambapo pampu za Juu ya maji zinafaa

Vinafaa kwa mahitaji ya maji ya juu ya ardhi katika kilimo, mifugo, na ufugaji wa samaki.

Umwagiliaji wa Mazao

Inasukuma maji kutoka kwenye mito, mabwawa na madimbwi kumwagilia mazao kwa ufanisi na unafuu.

Maji kwa ajili ya mifugo

Upatikanaji wa uhakika wa maji kwa ajili ya mifugo, kuku na wanyama wengine kutoka katika vyanzo vilivyo karibu.

Ufugaji wa samaki

Kuzunguka na kusambaza maji kwa mabwawa ya samaki na shughuli za ufugaji wa samaki.

Ugavi wa Maji

Hamisha maji kwenye matangi ya kuhifadhia kwa matumizi ya nyumbani, taasisi na jamii.

Kwa nini uchague pampu za juu ya maji

Matengenezo Rahisi

Inafungwa katika ardhi, hivyo kurakasha huduma na mategenezo bila vifaa vikubwa vya kufungia.

Gharama Nafuu

Inapguza gharama ya kununulia mfumo na ufangaji, kuifanya pampu ya juu ya maji kuwa chaguo rafiki kwa unafuu.

Inafanya kazi katika vyanzo zaidi ya kimoja

Inafanya kazi katika mito, madibwi, mabwawa, maziwa na matenki, kuambatanishwa na mifumo mingine ya kusambaza maji.

Inaendeshwa kwa nishati ya jua

Ni safi, nishati mbadala isiyo kuwa na gharama za mafuta ama kuzalisha hewa ya ukaa.

Inadumu

Imeundwa kwa Uimara kuhimiri hali ngumu za hali ya nje bila kufanya mategenezo kwa miaka mingi.

Ni Rafiki kwa Mazingira

Haitoi moshi kama Diseli ama uchafuzi wa kelele- Ni changuo endelevu kwa ajili ya kusukuma maji.

Vipimo vya kitalaamu

Vipimo mhimu vya pampu zetu mbalimbali za juu ya maji.

Kipimo Mgawanyiko Mchanganuo
Nguvu ya umeme inayotoka0.5 - 5 HPNguvu mbalimbali za umeme kwa mahitaji tofautitofaut
Kiwango cha Mtiririko1,000 - 50,000 L / sikuKiwango cha Maji yanayovutwa kwa siku
Kimo cha Msukumo10 - 100 mitaUmbali wa juu zaidi wa kusukuma maji wima
Paneli ya sola200W - 2,000WMchanganuo
DhamanaMiaka 2Hakikisho la dhamana

Je, Uko tayari kuvuta maji kwa kutumia sola?

Jiunge na maelefu ya wakulima waliofanikiwa Afrika ya Mashariki nzima kufanya mageuzi ya uhakika, gharama nafuu ya uvutaji maji kwa suluhisho zetu za pampu za juu ya maji.

Ushauri wa Bure Ufumbuzi Maalum Usimikaji Rahisi Dhamana miaka 2